Skip to main content
Skip to main content

Familia yalilia usaidizi kutafuta mwili wa mtoto aliyezama na kufariki mto Nairobi

  • | Citizen TV
    493 views
    Duration: 52s
    Familia ya mtoto Wayne Joel Otieno, aliyezama na kufariki kwenye Nairobi River alipokuwa akicheza na wenzake, imeitaka serikali kuisaidia kutafuta mwili wake.