Skip to main content
Skip to main content

Familia yaomba msaada katika kumtafuta mtoto aliyepotea

  • | Citizen TV
    3,028 views
    Duration: 1:44
    Familia ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili aliyepotea Kangundo, Dagoretti South, inaendelea kuwaomba wenye taarifa kuhusu alipo mtoto huyo kuwasiliana na polisi.