Skip to main content
Skip to main content

Familia za vijana watatu waliouwawa wakati wa maandamano Busia zadai haki

  • | Citizen TV
    417 views
    Duration: 1:54
    Miili ya vijana watatu , Fredrick Odhiambo amaaru “Papa” , Allan Odhiambo na Shadrack Onyango waliouwawa mjini Busia kwenye makabiliano baina ya maafisa wa polisi na vijana, imefanyiwa upasuaji na kubainika kuwa vijana hao waliuwawa kwa kupigwa risasi. Vijana hao kutoka kaunti ya Busia walipigwa risasi mnamo Mei 19 na 20 walipokuwa wakishiriki maandamano kushinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wao aliyekuwa amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Busia. Polisi wanalaumiwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi, huku familia zao zikidai haki.