Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa Shakahola zinalamikia serikali kwa kuchelewesha mazishi

  • | Citizen TV
    969 views
    Duration: 2:44
    Familia za wafu wa Shakahola zinailaumu serikali kwa kimya cha muda mrefu na kukosa kuwahusisha katika ilani ya siku 21 kabla ya kuzika maiti zaidi ya 400 za waathiriwa wa Shakahola. Roseline Asena, aliyewapoteza jamaa zake watano, amewasilisha malalamishi katika Bunge la Seneti akitaka familia kuhusishwa na kupewa mwelekeo, kama Francis Mtalaki anavyotu­arifu.