Skip to main content
Skip to main content

Familia zaidi ya 1,000 Tana Delta zipata afueni baada ya kupokea msaada wa mafuriko Maelezo:

  • | Citizen TV
    239 views
    Duration: 2:15
    Ni afueni kwa familia zaidi ya elfu moja katika eneo la Tana Delta kaunti ya Tana River zilizoathirika na mafuriko baada ya wahisani kujitokeza na kutoa msaada ya chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.