Skip to main content
Skip to main content

Familia zaomboleza wapendwa saba waliofariki katika ajali Kibwezi

  • | Citizen TV
    3,566 views
    Duration: 2:25
    Huzuni ilitanda katika ibada ya watu saba waliofariki katika ajali ya barabarani ijumaa iliyopita katika eneo la Kalembwani huko Nzaui kaunti ya Makueni. familia zimetaja vifo vya wapendwa wao kama pigo kubwa kwao .