2 Sep 2026 10:17 am | Citizen TV 815 views Duration: 1:43 Serikali imeanzisha shughuli ya dharura yakuthibitisha orodha sahihi ya familia zikizofurushwa kutoka msitu wa Maasai Mau ili kuwalipa fidia ya shilingi elfu mia mbili.