- 1,292 viewsDuration: 37sShirikisho la Soka Kenya (FKF) na Wizara ya Michezo zimefafanua kuwa posho ambazo hazikuwa zimelipwa kwa kambi tatu zilizopita za timu ya Harambee Stars zimelipwa. Katika taarifa tofauti, mashirika hayo pia yalisema malimbikizo ya mishahara kwa benchi la ufundi yametatuliwa.