Skip to main content
Skip to main content

Former President Uhuru Kenyatta: Walikuja wakadanganya Wakenya wakisema wanatetea ma-hustler

  • | Citizen TV
    3,394 views
    Duration: 1:49
    Former President Uhuru Kenyatta: Walikuja wakadanganya Wakenya wakisema wanatetea ma-hustler waliokaliwa na mabwanyenye ambao tulikuwa tunaitwa dynasty. Wakazunguka na uongo mwingi sana. Leo najiuliza, ma-hustler wa kweli ni nani na ma-dynasty ni nani? Hilo mtajijibia nyinyi wenyewe