Skip to main content
Skip to main content

Gachagua aingia kwenye mtihani mpya wa siasa baada ya uamuzi wa mahakama

  • | Citizen TV
    9,814 views
    Duration: 2:10
    Uamuzi wa mahakama kwenye kesi ya kubanduliwa kwa Rigathi Gachagua kama naibu rais umemweka kinara huyo wa chama cha DCP kwenye ramani ya mchoro wa siasa za uchaguzi mkuu ujao. Japo inaonekana kuwa azma ya Gachagua kuwania urais inafifia, safari yake ya rufaa itatoa taswira ya mwelekeo wa siasa za upinzani kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.