Skip to main content
Skip to main content

Gachagua aishutumu serikali kwa matukio ya uvamizi wa makanisa

  • | Citizen TV
    3,058 views
    Duration: 1:17
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ameshutumu serikali kwa kile amesema ni visa vya mara kwa mara vya wahuni kuvamia makanisa na kuhangaisha waumini. Akizungumza katika kanisa la Born Again Evangelism, huko Ruai kaunti ya Nairobi hii leo Rigathi pia amesema viongozi wa kidini na maeneo ya kuabudu yanapasa kuheshimiwa. Rigathu alihudhuria hafla maalum ya kutawazwa rasmi kwa Askofu Maina wa OTC wa kanisa hilo.