Skip to main content
Skip to main content

Gachagua aitaka IEBC kueleza mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa 2027 unafanyika

  • | Citizen TV
    80 views
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameitaka tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kuwaeleza wakenya mikakati yake katika kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao utafanyika kama ulivyoratibiwa. Akizungumza nyumbani kwake Wamunyoro, Gachagua ameitaka tume hiYo kuweka bayana taratibu zilizoko kuhakikisha uchaguzi huo hautaahirishwa.