- 2,294 viewsDuration: 2:44Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, ameitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwaeleza Wakenya mikakati yake ya kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unafanyika kama ulivyoratibiwa. Akizungumza nyumbani kwake Wamunyoro, Gachagua ameitaka tume hiyo kuweka bayana taratibu zilizopo za kuhakikisha uchaguzi huo hauahirishwi.