Skip to main content
Skip to main content

Gachagua ataka FBI, Scotland Yard kuchunguza kifo cha Johana Ng’eno

  • | Citizen TV
    4,586 views
    Duration: 2:54
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ameibua maswali kuhusu kifo cha aliyekuwa mbunge wa Emurwa Dikirr Johana Ngeno. Gachagua sasa anataka idara za ujasusi za kimataifa zikiwemo FBI na Scotland Yard kuchunguza kifo hicho, akisema hana imani na uchunguzi wa makachero wa humu nchini. Gachagua ameendelea kuikashifu serikali akidai inatoa ahadi hewa.