Skip to main content
Skip to main content

Gachagua ataka Murkomen na Kanja wafutwe kazi

  • | Citizen TV
    9,420 views
    Duration: 2:45
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amemtaka Rais William Ruto kuwafuta kazi Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen na Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, akiwatuhumu kwa uzembe katika kutekeleza wajibu wao wa kuhakikisha usalama wa rais. Gachagua amesema wawili hao wamechukulia kwa wepesi matukio kadhaa ambapo usalama wa rais ulitishiwa, baada ya watu kupenyeza kwenye majukwaa yake wakati wa mikutano ya hadhara. Melita Oletenges anaarifu zaidi.