Skip to main content
Skip to main content

Gachagua azua mjadala kwa matamshi yake kwa wakaazi wa Mathira

  • | Citizen TV
    8,178 views
    Duration: 1:09
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua jioni ya leo amekuwa wa punde kuwekwa kwenye darubini kuhusiana na matamshi yake kwa wakaazi wa Mathira alikowataka wakaazi kuwazuia maajenti wowote wa UDA kwenye vituo vya kupigia kura eneobunge hilo. Gachagua alitoa matamshi yake hapo jana huko Wamunyoro, kaunti ya Nyeri