Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Kuna njama ya kugawanya kura za Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    3,123 views
    Duration: 2:44
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua anadai kuna njama ya kugawanya kura za Mlima Kenya ili kuzuia ushindi katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili mjini Karatina, Gachagua amewarai wakazi wa Mlima Kenya kukataa njama hiyo na kuungana, akisema mgawanyiko utamsaidia Rais William Ruto kurejea mamlakani. Gachagua pia amemwonya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta dhidi ya kufanya makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto, akisema atalimbiikizwa makosa ya uongozi wa Kenya Kwanza. Gatete Njoroge na mengi zaidi.