Skip to main content
Skip to main content

Ndege yapata hitilafu hewani, abiria wapata mshtuko

  • | BBC Swahili
    6,285 views
    Duration: 28s
    Tazama jinsi abiria wavyopatwa na taharuki baada ya ndege aina ya Boeing 737 ya Sepehran Airlines kulazimika kurejea katika Uwanja wa Ndege wa Mashhad nchini Iran muda mfupi baada ya kuruka, kufuatia tairi kupasuka na injini kupata hitilafu. Safari hiyo ilikuwa imeghairishwa mara mbili siku iliyotangulia kutokana na matatizo ya kiufundi #bbcswahili #Iran #boeing Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw