Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Museveni ameafiki madai yangu kuhusu mkataba wa mafuta

  • | Citizen TV
    19,617 views
    Duration: 2:39
    Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, sasa anasema Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameafiki madai yake ya awali kuhusu mkataba wa uuzaji mafuta ya petroli kati ya Kenya na Uganda. Gachagua, aliyezungumza wakati wa ziara yake nchini Marekani, aliendelea kumlaumu Rais William Ruto, akidai kuwa ndiye mhusika mkuu. Na kama Brenda Wanga anavyoripoti, Gachagua anasema Kenya inapaswa kuchukua mkondo wa Uganda ili kuokoa pesa zinazopotea.