Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Ruto anapanga njama ya kuiba kura za urais 2027

  • | Citizen TV
    16,381 views
    Duration: 3:01
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anadai Rais William Ruto anapanga njama ya kuiba kura za urais katika uchaguzi mkuu ujao, akidai Tume ya Uchaguzi na Mipaka IEBC inashiriki njama hiyo. Gachagua akidai kuwa IEBC inaipa kampuni ya teknolojia ya Miru Systems kutoka Korea Kusini zabuni ya kuendesha uchaguzi huo. Akizungumza nyumbani kwake hapa Nairobi, Gachagua alidai Waziri wa Madini Hassan Joho na Naibu Mwenyekiti wa IEBC Fahima Araphat wako kwenye kitovu cha sakata hiyo, kama Emmanuel Too anavyorifu.