- 2,432 viewsDuration: 2:48Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amepuuza madai kuwa upinzani utasambaratika kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Gachagua, aliyezungumza kanisani nchini Marekani, amesema kuwa watamchagua kiongozi mmoja wa upinzani kusukuma azma ya kumbandua Rais William Ruto mamlakani. Chrispine Otieno na mengi zaidi.