- 4,827 viewsDuration: 1:48Gavana wa Kaunti ya Nyandarua, Dkt. Moses Kiarie Badilisha, ajitokeza kutuliza hofu kuhusu mipango ya kukamatwa kwake na Idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) pamoja na tume ya maadili na kupambana na ufisadi (EACC) kuhusiana na madai ya ufisadi ambayo hayajaainishwa.