Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, amesema hatashinikizwa kujiunga na chama chochote cha kisiasa, akisisitiza kwamba wananchi wa Kiambu ndio watakaoamua mwelekeo wa mustakabali wake wa kisiasa wakati ufaao utakapowadia.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya