22 Sep 2026 7:23 pm | Citizen TV 757 views Duration: 1:13 Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amewarai maskwota waliofurushwa kutoka wadi ya Melelo katika Msitu wa Maasai Mau huko Narok Kusini kuwa na subira huku serikali ikithibitisha wanufaika.