Skip to main content
Skip to main content

Gavana Nyandarua Kiarie Badilisha ajiunga na chama cha DCP

  • | Citizen TV
    6,762 views
    Duration: 2:56
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua asema kuwa yabainika kuwa aliondolewa ofisini kwa fitina na wala si kwa kosa lolote kutokana na matamshi ya wabunge wa serikali kuwa walihongwa ili kumwondoa. Akizungumza alipompokea gavana wa Nyandarua Kiarie Badilisha aliyejiunga na DCP nyumbani kwake Wamunyoro, Gachagua asema kukiri kwa wabunge hao ni sababu tosha ya kuonyesha haki zake za kikatiba zilikiukwa.