Skip to main content
Skip to main content

Gavana Orengo akumbuka urafiki wake wa muda mrefu na Raila Odinga

  • | NTV Video
    4,580 views
    Duration: 3:01
    Kwa gavana wa Siaya, James Orengo, uhusiano wake na Raila Odinga ulijengwa katika mapambano, mahakama na maamuzi yaliyoweza kubadili historia ya Kenya. Orengo sasa anakumbuka si tu mwanasiasa aliyemjua, bali pia rafiki aliyemtegemea katika nyakati ngumu zaidi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya