21 Aug 2026 10:27 am | Citizen TV 358 views Duration: 1:24 Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa awahimiza wakazi ambao bado hawajajisajili katika mpango wa SHA kufanya hivyo, ili waweze kunufaika na huduma za afya.