- 135 viewsDuration: 1:32Gavana wa Kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka aitaka serikali kuu kudhibiti uagizaji wa sukari kutoka mataifa ya nje, akisema Kenya yazalisha sukari ya kutosha na hivyo yahitaji kulindwa dhidi ya ushindani usio wa haki . Lusaka ayasema hayo alipotembelea Kiwanda cha Sukari cha Nzoia kutathmini hali ya mazingira ya kazi .