Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru awataka wakazi wa mlima Kenya kutokubali kugawanywa

  • | Citizen TV
    513 views
    Duration: 1:19
    Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amewataka wakazi wa eneo la Mlima Kenya kudumisha umoja na kutokubali kugawanywa. Alitoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya Kavuke katika eneo la Mwea.