10 Jul 2026 12:36 pm | Citizen TV 166 views Duration: 2:04 Gavana wa Migori Ochilo Ayacko awaonya wanasiasa dhidi ya kuingiza siasa katika huduma za afya akisema mashambulizi mabaya ya umma dhidi ya vituo vya afya yadhoofisha ari ya wafanyakazi na utoaji huduma za matibabu.