27 Jul 2026 10:24 am | Citizen TV 558 views Duration: 1:09 Johnson Sakaja ameonya taasisi za serikali, wakandarasi na wamiliki wa miradi binafsi dhidi ya kukata miti bila kibali kutoka Serikali ya kaunti ya Nairobi