Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nandi Stephen Sang ataka jamii zinazoishi karibu na misitu kushirikishwa katika uhifadhi

  • | Citizen TV
    774 views
    Duration: 1:29
    Gavana wa Kaunti ya Nandi Stephen Sang ameitaka Wizara ya Misitu kuhakikisha kuwa jamii zinazoishi karibu na misitu zinaruhusiwa kulima na kushiriki kikamilifu katika upandaji na utunzaji wa miti, akisema hatua hiyo itaimarisha juhudi za kuhifadhi mazingira.