20 Aug 2026 10:36 am | Citizen TV 3,376 views Duration: 1:30 Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, akemea vikali siasa za kikabila ziendelezwazo na baadhi ya wanasiasa kwa lengo la kuwagawa wakazi na kuvuruga mshikamano wa kaunti hiyo.