- 217 viewsDuration: 1:32Gor Mahia ilitoka nyuma na kuifunga Murang'a seal 3-2 katika mechi ya ligi kuu ya taifa ya kandanda iliyochezwa katika uwanja wa Kasarani . Seal ilichukua uongozi wa mabao 2-0 kabla ya Gor Mahia kufunga tatu katika kipindi cha pili.