Skip to main content
Skip to main content

Gor Mahia yaanza kampeni ya kutetea taji kwa ushindi wa 4-2 dhidi ya Murang’a Seal

  • | Citizen TV
    878 views
    Duration: 1:23
    Mabingwa watetezi gor mahia wameanza kampeni yao ya kutetea taji la ligi kuu nchini msimu wa 2026/2027 kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya murang’a seal katika uwanja wa nyayo jijini nairobi jumanne usiku.