13 Oct 2026 1:27 pm | Citizen TV 14,926 views Duration: 2:18 Hali ya Sintofahamu imeendelea kutanda kuhusu ufunguzi rasmi wa Soko la Masinde Muliro mjini Kitale, huku mvutano wa kisiasa na kiutawala ukiibuka kati ya serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia na serikali ya kitaifa.