Skip to main content
Skip to main content

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    75,910 views
    Duration: 28:10
    Jeshi la polisi nchini Tanzania linasema hali ya usalama wa nchi imekuwa nzuri na vyombo vya ulinzi vinaendelea kuimarisha usalama katika maeneo mbalimbali. Maandamano ya amani yaliyopangwa kufanyika siku ya leo yalipigwa marufuku na mamlaka za serikali yakidaiwa kuwa hayakukidhi matakwa ya kisheria. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw