Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets kuvaana na Lesotho mechi ya kuwania nafasi ya tatu

  • | Citizen TV
    772 views
    Duration: 1:26
    Harambee Starlets itavaana na Lesotho women’s national football team katika mechi ya kuwania nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Mataifa Nne itakayochezwa leo saa kumi alasiri. Timu zote mbili zinatarajiwa kupambana vikali zikitafuta kumaliza mashindano hayo kwa ushindi.