Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets wajiandaa kwa mechi ya kufuzu Kombe la Afrika

  • | KTN News
    174 views
    Duration: 1:30
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Timu ya taifa ya kina dada Harambee Starlets inaendelea na mazoezi kujiandaa kwa mchuano wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Gambia. Starlets watacheza mkondo wa kwanza nyumbani, jijini Nairobi, Ijumaa tarehe 24 mwezi huu katika uwanja wa Nyayo, kabla ya kuelekea Senegal kwa mechi ya marudiano. Wachezaji wapya walioitwa kambini, Lorine Illavonga na Elizabeth Muteshi, wameeleza wingi wa matumaini na kuahidi kutoa mchango mkubwa katika safari ya kufuzu kwa michuano hiyo mikubwa ya bara Afrika. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews