Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets yafuzu raundi ya pili ya kufuzu Olimpiki 2028

  • | Citizen TV
    2,104 views
    Duration: 1:24
    Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake, Harambee Starlets, imefuzu kwa raundi ya pili ya mashindano ya kufuzu kwa Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2028 baada ya kuiadhibu Ushelisheli kwa mabao 11-0 kwa mara ya pili. Kenya imefuzu kwa magoli 22-0 kwa jumla.