10 Jun 2026 1:51 pm | Citizen TV 655 views Duration: 1:07 Harambee Stars ilirejea nchini Jumanne kutoka South Africa ambako ilicheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa. Timu hiyo inatarajiwa kutumia matokeo ya mechi hizo kuimarisha maandalizi yake kwa mashindano na mechi zijazo.