Skip to main content
Skip to main content

Hassan Omar akosolewa kwa matamshi kuhusu usajili wa wafu

  • | Citizen TV
    5,140 views
    Duration: 2:31
    Katibu Mkuu wa chama cha UDA Hassan Omar amejipata pabaya kufuatia matamshi yake ya kurupuka yaliyoashiria njama ya wizi wa kura kupitia usajili wa wafu. Omar aliyetoa matamshi hayo Mombasa amekashifiwa vikali na wanasiasa kutoka chama chake cha UDA na upinzani akitakiwa kupima maneno kabla ya kuzungumza.