- 1,622 viewsDuration: 3:54Hali ya Wasiwasi inaendelea kuongezeka kuhusu hatima ya wanafunzi ambao walipata alama za D + kwenda chini katika mtihani wa KCSE wa mwaka jana. Kwa mara ya tatu mfululizo, karibu wanafunzi elfu mia nne walishindwa kupata alama ya kujiunga na vyuo vikuu.