Skip to main content
Skip to main content

Hofu ya mlipuko wa magonjwa yazuka Bungoma kutokana na maji taka

  • | Citizen TV
    612 views
    Duration: 2:19
    Wakaazi wa kijiji cha Lugulu katika eneo bunge la Webuye West Constituency, kaunti ya Bungoma County, wanaishi kwa hofu ya mlipuko wa magonjwa hatari kutokana na maji taka yaliyojaa katika maboma yao.