5 Aug 2026 10:09 am | Citizen TV 202 views Duration: 2:09 Wataalamu wa afya katika Kaunti Ndogo ya Malindi waelezea wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa visa vya magonjwa yasiyoambukizwa huku wakiripoti kupungua kwa kasi kwa visa vya malaria katika eneo hilo.