Skip to main content
Skip to main content

Hospitali mpya ya Londiani

  • | Citizen TV
    581 views
    Duration: 2:43
    Mamia ya wakazi kutoka maeneo bunge ya Kipkelion Mashariki na Kipkelion magaribi katika Kaunti ya Kericho wamejitokeza kupinga mpango wa kuhamisha eneo la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Londiani kutoka eneo lililotengwa awali.