Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya kitaifa ya Kenyatta (KNH) yatia saini mkataba mpya na chama cha wauguzi na wakunga

  • | Citizen TV
    859 views
    Duration: 2:05
    Hospitali ya kitaifa ya Kenyatta (knh) imetia saini mkataba wa pili wa makubaliano ya kazi na chama cha wauuguzi na wakunga, ukitoa posho iliyoboreshwa ya huduma za uuguzi na mavazi ya kazi.