Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Malindi yaripoti kutokuwepo kwa vifo vya watoto wachanga kwa miezi mitano

  • | Citizen TV
    576 views
    Duration: 2:02
    Hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi imefaulu kulinda maisha ya watoto wachanga huku rekodi zikionyesha kuwa hakuna kifo kilichorekodiwa katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.