Skip to main content
Skip to main content

Huduma za Usafiri Zatatizika Embu Kufuatia Hofu ya Maandamano

  • | Citizen TV
    6,667 views
    Duration: 1:29
    Huduma za usafiri katika mji wa Embu zilitatizika mapema leo baada ya waendeshaji wa matatu kuondoa magari yao barabarani kutokana na hofu ya kushambuliwa wakati wa maandamano yanayoendelea kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na nauli