Skip to main content
Skip to main content

'Huwezi niona barabarani nikiomba'

  • | BBC Swahili
    13,830 views
    Duration: 1:27
    Watu takribani 30,000 wanakadiriwa kupoteza viungo vyao wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone katika miaka ya 1990. Wengi wameathirika kisaikolojia na kimwili kutokatana na vita hivyo na hivyo kushindwa kupata ajira. Lakini sasa baadhi ya waliopoteza viungo wamekuwa wakipatiwa mafunzo ya kilimo stadi ambacho wanaweza kutumia kuanzisha mashamba yao wenyewe na kufundisha wengine katika jamii zao. - - #bbcswahili #walemvu #sierraleone Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw